TANGAZO
Chuo kitafunguliwa 06/04/2021,
Wanachuo wote Mliopo likizo ndefu tangu mwezi march 2021 mnakumbshwa tarehe/siku na tarehe ya mitihani maarumu na ya marudio mara tu baada ya kufungua chuo kama ifuatavyo
1. Wanafunzi wote wa bweni mnatakiwa kuwasili chuoni tarehe 05/04/2021 pia wa kutwa
tarehe 06/04/2021. Usajiri utaanza tarehe O6-09/03/2021 na masomo yataanza mara moja.
MUHIMU :
2. Mitihani maarumu na ya marudio (SPECIAL AND SUPPLIMENTARY) itafanyika
kuanzia tarehe 12-16 /03/2021. Wale wote watakaohusika na mitihani hii wafike mapema
kufanya taratibu husika kabla ya wiki la mitihani. Adhabu kali itatolewa endapo hautafanya
taratibu kwa wakati. mf: kujaza form na kujisajili
NB: Mwanachuo yeyote ambaye hakufanya ya mitihani kwa sababu yoyote ile atahusika kufanya mitihani hii maarumu (SPECIAL ) na aliepata matokeo ya chini ya kiwango cha ufauru atashiriki kufanya mithani ya marudio
( SUPPLIMENTARY) uhakikishe unafanya
mitihani yako yote kipindi hiki, vinginevyo utapoteza sifa kutokuwa mwanafunzi hai.
(inactive student)
3. Mwanachuo atakaechelewa wiki moja baada ya tarehe ya kufungua chuo hatapokelewa
kuendelea na muhula mpya wa masomo.
4. Hakikisha unakuja na ada isiyopungue Tshs 400000/= Au ada yote ya muhula yaani
Tshs 500000/= vinginevyo hautapokelewa.
Mwisho :
manejiment ya chuo inawatakia wanachuo wote na jamii nzima ya s.t joseph's kheri ya pasaka 2021
imetolewa na
J. CHOTTA
MKURUGENZI WA MAFUNZO
2/04/2021